Tuzo ya Taifa ya Ufundi - Nta Ngazi ya 6 na 7UtanguliziMtahiniwa katika mfumo wa elimu ya ufundi atatunukiwa cheti (Cheti cha Taifa cha ufundi) baada ya kukidhi vigezo vya ufaulu ambavyo ni ufaulu katika masomo ya msingi kwa vitendo, ambapo kwa mwenye cheti cha ngazi ya 5 ataweza kufanya kazi za kawaida na kazi ambazo hutumia ujuzi mkubwa kiasi. Na mwenye cheti cha kiwango cha ngazi ya 6 ataweza kufanya kazi ambazo hutumia ujuzi mkubwa na ataweza kusimamia wasaidizi. |