Tuzo ya Taifa ya Ufundi- NTA Ngazi ya 4 na 5UtanguliziTuzo ya Taifa ya Ufundi (NTA) inategemea umahiri wa mwanafunzi na imeundwa ili kuthibitisha kwamba mtu mwenye tuzo anaweza kutumia kwa ustadi uwezo na ujuzi ulioelezwa katika sekta husika ya kazi. Mtahiniwa katika mfumo wa elimu ya ufundi atatunukiwa cheti (cheti cha msingi cha ufundi) baada ya kukidhi vigezo vya ufaulu ambavyo ni ufaulu katika masomo ya msingi kwa vitendo, ambapo mwenye cheti cha ngazi ya 4 ataweza kufanya kazi za kawaida za kila siku katika fani yake. |